Zana ya Urban Action
Zana hii ina utangulizi rahisi wa dhana za mijini, ukifuatiwa na mfulululizo wa moduli sita kuhusu: Mawasiliano Bunifu, Huduma za Kiasili, Usafi na Usafishaji Maji (WASH), Kilimo cha Mijini, Afya na Ustawi, Onyo la Mapema na Uchukuaji Hatua wa Mapema, na Miji Inayowesha Maisha Bora. Kila moduli ina muhtasari wa dhana fupi, mfululizo wa shughuli, tafiti fupi na uhusiano wa kimataifa. Shughuli zinaweza kutekelezwa pamoja au zikiwa peke yake.